Aisee niliamka asibuhi nikajikuta natembelea vidole,miguu yote haifai[emoji23][emoji23][emoji23] Ukaishia kupata maumivu mkuu
2009 nilipiga gambe nikatembea juu ya mkaa wa moto...na niliamini kabisa siwezi ungua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]2009 nilipiga gambe nikatembea juu ya mkaa wa moto...na niliamini kabisa siwezi ungua
Uzi huu ni kwa ajili ya wale waliopiga gambe na kujikuta wanafanya mambo ya ajabu na kesho ulipoambiwa Ulibisha kweli.. Nilipiga gambe enzi nipo chuo sasa bhana nikataka kuondoka na Malaya flani wenzangu wakawa wananikatalia ikabdi wanifunge kamba wanipeleke mpaka Hostel kufika hostel unaambiwa nikakojoa kwenye korido na kutapika balaaa.. Kiukweli kesho yake nikasema sitalewa mpaka nipoteze network kabisa milele yote..
Tukio gani ulifanya la ajabu siku ulipopiga tungi ya maana??
2009 nilipiga gambe nikatembea juu ya mkaa wa moto...na niliamini kabisa siwezi ungua
Kazi ya tupicha picha twa pombe niachieni Mimi kwa sababu naishi nazo kila dakikaView attachment 1116563View attachment 1116564View attachment 1116567View attachment 1116569
Wenzenu uwa wanapasuliwa mayai
Sioo...na ilikua ni shughuli ya nyumban..mpka leo wananikumbusha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aaaaah hii sio chai kweli?
Hyo ilikua hatari mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]we kiboko
Hyo ilikua hatari mkuu
Hahahaha nakipindi kile nilikua napenda saa movie za kichina..wale ma master wanatembea juu ya mkaa wa moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndonyie mkilewa najiona masuperman[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha nakipindi kile nilikua napenda saa movie za kichina..wale ma master wanatembea juu ya mkaa wa moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]