Uzi wa ma-lastborn tu

Lastborn jeuri kwa wakubwa zake
walikuwa hawakutwangi kofi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana
Wananijua Mimi Ni mpole ila kuendeshwa kizembe sitaki..
Na hapo unakuta namsaidia sista kazi zote..yeye anarudi na kunituma juu..na sokoni Ni mbali
Sasa nikirudi halafu asahau kitu,unakuta anamwita msichana wa kazi anamuagiza.
Mimi sipendi ujinga wa kutumwa Mara kumi kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lastborn tuna raha sana!

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Ila kiukweli sisi ma lastborn wwngine tunabeba majukumu makubwa sana ya kifamilia huwezi amini.

ᴱᵛᵉʳʸᵇᵒᵈʸ ˡᵒᵛᵉˢ ᵃ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Yaan lastborn,.... lastborn....lastborn
Daaa hawa wenzetu mie namwaachia Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…