Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Nilichokiona kwenye uzi huu wazee ni wengi sana sema wanaupenda ujana. Majina wanayotumia humu unaweza kudhani ni watoto wa miaka ya 1990s kumbe ni nyuma mbali kabisa. Anyway namtafuta Rosemary Kabisi mara ya mwisho tulionana Arusha 1996.
Humu wengi ni watoto na vijana. Wengi walikuwa primary 1990s na 2000s, secondary 2000s hadi 2010s. Wazee ni wachache.
 
Nawatafuta watu hawa.Edmund mnyawami ,Clara manoni,Charles majigwa,Erick Misaka,David Aron, Peter Lupande, ( Mapinduzi shule msingi Shinyanga).Lucia Mahona ( Kom secondary).Mhindi Masanja ( Azimio shule ya msingi /Lubaga).Pia
LUCIA DONARD ( Huyu alikua mtoto wa mchungaji wa kanisa dogo la Aic Lubaga alihama zamani sana ) alikohamia sikujui , Pia Marry Masanja (Old shinyanga secondary).
 
Huyu ni Mary Masanja naibu waziri wa utalii ama!
 
JOAKIM NGOLO uko wapi? Tulipoteana 1989 hadi leo kimya.

Kwao ni maeneo ya Nyololo Mafinga, lakini pia Makambako ndiko alikonambia hufanya shughuli zake.

Msaada nimpate rafiki yangu.
 
namtafuta Petro Mwanalinze rfk yangu wa utotoni nilipotezana nae 2008 huko Nkasi Rukwa hajawahi futika ktk mawazo yangu mliopo Chala, kanazi na maeneo hayo.
Huyu jamaa niliwahi kutana nae maeneo ya kantalamba sekondari sumbawanga mjini,

namfahamu vizuri
 
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine, Hawa Noor na wengine wanaonifahamu. Napatikana kwa E-mail hmisayo6@gmail.com
Namtafuta Irene Thomas,Mama yake mchaga wa marangu ukoo wa lyimo na baba yake ni mmasai ila makazi Yao Dodoma(Mailimbili).
Mara ya mwisho kukuona 2018 na ulisema unaenda kwa bibi yako marangu mtoni.
 
Back
Top Bottom