Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Namtafuta rafiki yangu anaitwa Daniel Vincent

Olevel tulisoma wote kilosa agricultural secondary school

Advance yeye alifaulu tabora boys

Mimi nilienda dit sikwenda advance

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine, Hawa Noor na wengine wanaonifahamu. Napatikana kwa E-mail hmisayo6@gmail.com
Kuna mmoja hapo nafahamiana nae...vipi nikupe contact zake? Njoo PM

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Namtafuta Fatma Amri alikua anaishi Kinondoni B,Josephine Joseph (Kawawa) hanifa Mshamu(tandika)Amina Mpogo(mtongani) ,tulipotezana shule za msingi Mpakani,1998...
 
Namtafuta Michael bigambo Mara ya mwisho ni kirumba mwanza na high school darasa moja Rock City popote ulipo tuwasiliane
 
Namtafuta perpetual Ezekiel Francis alisomaga shule ya msingi mbuyuni siku hiz nikiskia ni ticha
 
Kama kuna mtu Alisoma mbozi mission kule mkoani songwe miaka ya 2000-2004 au dar muungano primary school miaka ya 1995-2000 iliyokuwa enzi hizo mburahati wilaya ya kinondoni tutafutane
 
Kama kuna mtu Alisoma mbozi mission kule mkoani songwe miaka ya 2000-2004 au dar muungano primary school miaka ya 1995-2000 iliyokuwa enzi hizo mburahati wilaya ya kinondoni tutafutane
Blaza kumbe tulikuwa majiran kabisa..Mimi nlikuwa nasoma kawawa primary mtaa wa luhanga kule..kipindi icho tulikuja Sana hapo muungano primary kufanya mitihan ya mashindano...
 
Nawatafuta Kesibe Elias, Ahazi Mwakatobe, Kibosi Joachim, Kemilembe Kamugisha, Fabian Mlozi, Maria Samson Tikiti, Tusekile Anangisye, Lilian Ndomba, Good Tarimo, Nolasco Mkole, Alfa Ntayomba, Gena Jabiri, Maria Samson, Hamisi Selemani Lieme, Kamote Bakari, Paul Mwanda, Iluminata Constantine, Hawa Noor na wengine wanaonifahamu. Napatikana kwa E-mail hmisayo6@gmail.com
Namtafuta Mshikaji wangu aitwae "Joji shayo" singida moja tume potezana miaka 20 sasa
 
Mashujaa shule ya msingi, Songea uko
Standard 1 sikumbuki mkondo gani,
2003 tulikuwa na Monitress anaitwa Anna sikumbuki ubini, Aisee nilikuwa nampenda
Na utoto wangu sadly sikumaliza muhula nikahamia Lizaboni
 
Back
Top Bottom