Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

Namtafuta sister angu mmoja anaitwa eveta tulikuwa tunakaa wote manzese beston alimaliza Baptist secondary mwaka 2006 mara ya mwisho alisema anaenda Arusha

Hahahahhaha Eveta Bonge white?nakuunganisha nae usijali nicheki DM nikupe number yake
 
Daaaa nakutafuta sana Agnetha Pambe...Rafiki tulikutana kwa Bus akitokea Tanga kwenda Arusha...kwa Safari ya Mwanza 2008.Aliniambia Kwao ni Nyakato /Buzuruga,Mwanza.Alitoka kusoma Ualimu Mkoani Tanga ...Kumbukumbu yako imekuwa ngumu kupotea.
Mkuu alikupa nn huyo dada siku hyo mpaka kumbukumbu iwe ngumu kupotea
Mtavunja ndoa za watu

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Nawatafuta marafiki zangu wa kike niliosoma nao shule ya Vidudu Sengerema kwenye mwaka 90/91. Wakwanza anaitwa Nyamisana na wa pili anaitwa Feruzi.
Huyu Nyamisana sura yake haijanitoka bado kwa vile alivyokuwa mzuri. Alikuwa na matuyuyu (dimples), basi muda wote akicheka, mashavu yalikuwa yanabonyea. 💃
Huyu Feruzi alikuwa na maneno mengi. She was a kind of girl who would never run out of things to say.
Alikuwa binti mwenye story mingi sana. Kila siku alikuwa akinipa story mpya!

Pia mshikaji wangu anayeitwa Cleofas Bukta naye tulisoma wote Nursery ya Misheni kule karibu na kanisa la Roman au Rambo la mzungu.
Feruzi!? Ni mwanamke kwa vipi? Au ulikuwa unamakengeza? Feruzi?!
 
Back
Top Bottom