mchezo mbaya
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 242
- 235
Bro kumbe wewe ni wa siku nyingi?!!.Si ajabu kati yao hao ni member humu ila hawawezi lujitokeza kutokana na anonymity ya JF
Anyway namtafuta Flaviana Mbeya.. Mara ya mwisho kuonana ilikuwa 1982
Umri umesogea ndugu yanguBro Kumbe wewe ni wa siku nyingi?!!.
Unataka kumfanya nyumba ndogo nini?Namtafuta nesi jeska kombe
Huyu atakuwa ni mbunge viti maalum nakumbuka alilia enzi ya MaguNamtafuta Agnes Kimbache, mala ya mwisho tulikutana Musoma mwaka 1996