Zuleykha JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,413 Reaction score 2,145 Aug 27, 2016 #41 Mpe tisiti Badala Mpe risiti
wazirib28 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 460 Reaction score 275 Aug 28, 2016 #42 Nilikuwa zangu ndani ya tax nimetundika mijuu guu nakula chipsi kaki na mishikavu...ile tunakata limbwa tu tukaona likona lina manyoya hatari...dereva alijitahidi kulikwepa lkn alishindwa... tukapata ajali meno yote thelasini na nje mbili.
Nilikuwa zangu ndani ya tax nimetundika mijuu guu nakula chipsi kaki na mishikavu...ile tunakata limbwa tu tukaona likona lina manyoya hatari...dereva alijitahidi kulikwepa lkn alishindwa... tukapata ajali meno yote thelasini na nje mbili.
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Aug 28, 2016 #43 Naomba dawa ya mswaki
General Mangi JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 15,316 Reaction score 23,178 Aug 28, 2016 #44 Nimelima kitikiti maji
S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,385 Reaction score 2,847 Aug 28, 2016 #45 ile nakata mbwa, kona huyo= ile nakata kona, mbwa huyo naomba chipsi kaki na mshikavu= naomba chipsi kavu na mshikaki dada'girl= head'girl
ile nakata mbwa, kona huyo= ile nakata kona, mbwa huyo naomba chipsi kaki na mshikavu= naomba chipsi kavu na mshikaki dada'girl= head'girl