Uzi wa kuchapia

Watoto.

Kikombe=Tombe.

Naomba sufuria nikombe=Naomba sufuria ntombe.
 
Dah nna nyama Na hamu ya kuku= nna hamu Na nyama ya kuku
 
Unakula nini unachotafuna mapela
 
jamaa angu aliwai chapia kwa kusema shima na yanga badala ya shimba na yanga aseee nilicheka nusu kufaaa cku iooo
 
Jamani naomba kuuliza; hivi Temeke na Gongolambali wapi mboto?
 
..Kwa mahashani kuna suku ya pupu.. Kwa mama Hassan kuna supu ya kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…