Uzi wa dondoo!.

Picha nzuri haimaanishi maisha mazuri. Usitamani alichonacho mtu mwingine kwa sababu ya kilichoonekana nje. Wengine wanapaka rangi kwenye maumivu yao

Maisha ni shule isiyo na likizo. Kila siku unafundishwa, kama hutajifunza, utarudia darasa kwa maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…