Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

🥰
Kasinde kwa nini nikufinye mama na ladha ya sukari waijua ni tamu...

Halafu Kasie kule Ndoto napasikia sikia tu kuwa ni bonge moja la holiday/weekend gateway...kuna hadi horse riding...

Ukiwa na nafasi ya siku nzima unipitie twende.

Kabla Disemba 2021 haijaisha.
 
Nakumbuka kipindi cha nyuma uzi wa namna hii ulikuwepo hapa jukwaani, mimi ni miongoni mwa wanajf nilioufaidi uzi ule
Sasa nimeonelea niurejeshe tena maana haupo humu

Kutongozana kiutu uzima hakuhitaji longolongo nyingi za kitoto, watu wazima hawapangwi ni kueleweshwa tu then unapewa mbususu straight

Pitia hapa mtafute mtu mzima mwenzio mtongoze kiutu uzima mkamalizane!

Mimi namsubiri FaizaFoxy au Kasie nafikiri atanielewa
. Unamtaka Bibi faiza foxy
 
Kune yule dada jamani unakaa mkoa wa wanyamwezi nakusubiri inbobo 😜😜
 
Natuma salamu kwa my wife to be financial services 😍😍😍

Sijui ni kwa nini huwa naogopa kumtafuta pm mpaka leo! Yaani ninamuonea aibu mpaka najishtukia!🙄 Baby, unaweza tu kuni 'dip', halafu mimi nitapiga! 🤙
Jamani thank you my hubby to be! Ila tangu uweke ile ahadi ya kununua kile kitanda cha elfu 70 ili tuhamie kwetu na ukashindwa kununua dah😂😂 ila one day tutanunua tu babe😍😍
 
Jamani thank you my hubby to be! Ila tangu uweke ile ahadi ya kununua kile kitanda cha elfu 70 ili tuhamie kwetu na ukashindwa kununua dah😂😂 ila one day tutanunua tu babe😍😍
Kwa utawala wa huyu mama, naamini tutanunua tu kitanda cha thamani zaidi ya kile cha elfu 70! Dah!! Enzi zile, vyuma vilikuwa vimekaza sana!
 
Back
Top Bottom