Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

Kuna huyu dada mzuri nampenda toka zamani sana ila sijui kwa nini spendi kurusha mtongozo hapa JF, dada mzuri i love uuuu
 
Hii ni dalili ya watu kukosa shughuli za muhimu za kufanya...

Niache kutafuta pesa, nianze hangaika kutongoza mtu hata hujui kama ni *****, au muuza mbunye au hata ni kidume mwenzio...

Tafuta pesa, mambo mengine yakufuate ikiwemo 'wachuchu'
Hivi best upo?
Habari za miaka mingi
 
Back
Top Bottom