Uzi special: Mtongoze hapa ki-utu uzima mkamalizane live

Hii ni dalili ya watu kukosa shughuli za muhimu za kufanya...

Niache kutafuta pesa, nianze hangaika kutongoza mtu hata hujui kama ni choko, au muuza mbunye au hata ni kidume mwenzio...

Tafuta pesa, mambo mengine yakufuate ikiwemo 'wachuchu'

Wee sukari weweee, unawadanganya wanaume wenzio hivihivii.....

Wewe uko na pesa na ni mtamu,
Sasa wanaume wenzako watazitafuta pesa ila wataachwa mapema sababu hawatakuwa na utamu kama wako, vile wewe ni sukari ya warembo...😋

Kama nimesema uongo nifinye hapahapa, na kama nimesema ukweli, nakudai town trip from Kigamboni to Ndoto Pole....
 
Uzinzi na umalaya ni kipaji kama ilivo kucheza mpira au basket ball na inaonekana mapema kama vipaji vingine tu toka udogoni ndio maana mkiambiwa mchague wa kuzaa naye mnakuwa na jazba na hasira,serikali hawezi kuingilia vipaji vya watu its in human nature.

WHERE THERE IS A WHEEL, THERE IS A WAY!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona unatupangia maisha?
Sukari ya warembo

Sasa wanaume wenzako watazitafuta pesa ila wataachwa mapema sababu hawatakuwa na utamu kama wako, vile wewe ni sukari ya warembo...

Kama nimesema uongo nifinye hapahapa, na kama nimesema ukweli, nakudai town trip from Kigamboni to Ndoto Pole....
Kiutu uzima hii ila ona sasa ulikoangukia dah
 
Sukari ya warembo

Uzinzi na umalaya ni kipaji kama ilivo kucheza mpira au basket ball na inaonekana mapema kama vipaji vingine tu toka udogoni ndio maana mkiambiwa mchague wa kuzaa naye mnakuwa na jazba na hasira,serikali hawezi kuingilia vipaji vya watu its in human nature.

WHERE THERE IS A WHEEL, THERE IS A WAY!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Relax mkuu, kamata Pepsi ya baridiiiiii upooze mwili...

Usiamini kila unachosoma
 
Wee sukari weweee, unawadanganya wanaume wenzio hivihivii.....

Wewe uko na pesa na ni mtamu,
Sasa wanaume wenzako watazitafuta pesa ila wataachwa mapema sababu hawatakuwa na utamu kama wako, vile wewe ni sukari ya warembo...😋

Kama nimesema uongo nifinye hapahapa, na kama nimesema ukweli, nakudai town trip from Kigamboni to Ndoto Pole....

🥰
Kasinde kwa nini nikufinye mama na ladha ya sukari waijua ni tamu...

Halafu Kasie kule Ndoto napasikia sikia tu kuwa ni bonge moja la holiday/weekend gateway...kuna hadi horse riding...
 
Back
Top Bottom