Kuna sintofahamu ya neema na hasara za uraia pacha,naomba tushirikishe mawazo,uelewa kwa anayejua faida tunazizikosa kama taifa kutokana na uraia pacha
Kadhalika hasara zitokanazo na uraia pacha
Note: michango yetu ijikite kwenye maeneo muhimu yafuatayo kuhusu uraia pa
1, uchumi
2,tamaduni
3,usalama
,
Kama kuna lakuongezea ongezeni