habari ndugu zangu
tupenane utaalam kidogovna bei za mahindi huko kwenu sisi kwetu saiz mahindi yamefikia 600 kwa kilo ila wakulima bado hawajavuna wakivuna nadhani yatapungua bei
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.