Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 786
- 946
Alafu nimesahau kui mention, bonge moja la animation,RANGO. It's masterpiece of work kwa kweli...
Duh pole sana Mkuu. Ila ungeitafuta kwenye website za GoogleTangled nmejaribu ku download you tube ,zina jipeleka mbele sijui shida Nini?
Ongeza na Pussy in Boots ni furaha..RANGO. It's masterpiece of work kwa kweli...
Hii nayo ni kali balaaOngeza na Pussy in Boots ni furaha..
Ila Will Smith in Shrek kile ki punda kinachoongea maneno mengi alitisha sana fundi yuleHii nayo ni kali balaa
Ngoja nicheki ,shida yake inajirusha rusha mbele .nmedownload tatu kwa watu tofauti you tube lakini shida Ni ileileDuh pole sana Mkuu. Ila ungeitafuta kwenye website za Google
Pussy in BootsRANGO. It's masterpiece of work kwa kweli...
Yeah one of the best.Ongeza na Pussy in Boots ni furaha..
Is Futurama Japanese?
Ratatouille one of the best.You know what Clive, playing a villain in a tv was fun. But being one in real life is even better.... Heist music.(Balthazar Bratt)
Binafsi mimi ni mpenzi wa Animation sana sana hadi cartoon Napenda sana... Animation ndio genre ya muvi ambayo unaweza kuitazama mara nyingi bila kuichoka.
Kampuni zangu bora zinazotengeneza Animation ni Dreamworks Studio na Pixar Studio.Zifuatazo ni animation zangu bora nazopenda kuzirudia
- Home
- Wall E (inasikitisha)
- Big Heroes 6
- Ratatouille
- Despicable me
- Moana
- Up (inasikitisha)
- Shrek
- How to train your dragon
- Coco
- Kung fu panda
- Boss baby
- Wreck it Ralph
- Spy in disguise
- Megamind
- Finding Dory n Nemo
- Cars
- Grinch
- Onward
- Mosnter Inc
- Soul
- Chicken Run
- The Brave
- Rango (when is he going to die?? Soon my friend soon
)
Yule punda ni Eddy Murphy ana vituko sanaIla Will Smith in Shrek kile ki punda kinachoongea maneno mengi alitisha sana fundi yule