Uzi Maalumu kwa Wanaume Tu.

Uzi Maalumu kwa Wanaume Tu.

mdau mpya

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
473
Reaction score
651
Wanaume hebu tuwe na kikao kifupi hapa.

Hili tatizo la *kibamia* linaathiri saikologia ya wanaume wengi sana hasa zama hizi ambazo unaweza pata mpenzi alishakuwa na mabaharia kama 20 hivi so ni full kufanyiwa comparison na hapa ndo heshima inashuka.

Mada:
Hivi kuna mtu yeyote alishawahi tumia dawa za kuongeza mkuyenge zikamsaidia na zipi hizo!

ANGALIZO: Wapo wanaoamini kuwa hakuna dawa hizo ila wapo waliotumia na kufanikiwa. Suala la kuridhika na ulichonacho wakati wengi wakiumia kisaikologia sio suruhu muafaka.

Karibuni.
 
Inshu sio mwanaume kuwa na kibamia, swala hapo ni nwanamke kuwa ametumika sana tng anaanza kuvunja ungo Kwenye 14yrs sasa ukutane nae ana miaka 30 unategemea mini? + mimba alizotoa?
 
Inshu sio mwanaume kuwa na kibamia, swala hapo ni nwanamke kuwa ametumika sana tng anaanza kuvunja ungo Kwenye 14yrs sasa ukutane nae ana miaka 30 unategemea mini? + mimba alizotoa?
Unashauri nini kifanyike.. Kusema utamkuta bikra ni ngumu pia
 
Unashauri nini kifanyike.. Kusema utamkuta bikra ni ngumu pia
Sijazungumzia bikra hapo, nimezungumzia kutumika sn na matokeo yake anakufanyia comparison, mwanamke unakuta kapigwa hatari, uke umelegea kila kitu kinavutika kama mlenda.
 
Mi nimekuelewa mkuu,, unahitaji dawa za kuongeza mkuyenge,, nichek hapa nikusaidie. 0766063338 nitext au piga direct.
 
Kwa kweli tatizo kwa sasa limekuwa kubwa sana wanaume wanajiona si kitu tena kwa wapenzi wao kibaya zaidi kwa sasa mtoto anaanza kupigwa miti akiwa na miaka nane na kuendelea so suala la vibamia bado litaendelea
 
Ni kweli subiri tusikie kwa waliotumia
 
Unajua hii mitandao nayo siku hizi imechangia. Video za porn plus usiri hamna tofauti na zamani ushamba wanatoana wakioana.

Kingine mabinti wanatumika sana siku hizi.
 
Kwani kibamia kinaanzia ngapi wakuu? Maana usijeukawa unajadili kumbe kwa ghafla umo.
 
Unajua hii mitandao nayo siku hizi imechangia. Video za porn plus usiri hamna tofauti na zamani ushamba wanatoana wakioana.

Kingine mabinti wanatumika sana siku hizi.
Kwa hyo suruhu ni kuendana na mabadiliko.. Shida waliotumia hizi dawa na kufanikiwa ni rarely sana kutoa confesion sijui wanaogopa nn
 
Kwani kibamia kinaanzia ngapi wakuu? Maana usijeukawa unajadili kumbe kwa ghafla umo.
Naskia kawaida ni inchi tano yaani kama cm 14 na kuendelea ukiwa umesimama haswa.
Ukiwa umelala inategemea.kuna wengine ukilala haupungui Sana ndo maana hata wakivaa bukta kivipi lazima paonekane .
Lakin pia kuna ambao ukilala unakuwa mdogo Sana kama kidole cha mwisho lakini ukisimama unakuwa mkubwa Sana na hawa inasemekana Wana nguvu nyingi za kiume na sio wengi.

Na wanaume wengi wameumbwa hivyo.

Mwisho nguvu za kiume sio kuwa na mkuyenge mkubwa kuliko Bali ni utundu Tu.
 
Wengi wanaodai kukutana na vibamia ni wale walichokonolewa na kukologwa na vyuma katika harakati za kubutua yaani kukatisha uhai wa kiumbe kinachokuwa tumboni, alimaarufu kutoa mimba au kuitwa 'mama marehemu' mdada.
 
Naskia kawaida ni inchi tano yaani kama cm 14 na kuendelea ukiwa umesimama haswa.
Ukiwa umelala inategemea.kuna wengine ukilala haupungui Sana ndo maana hata wakivaa bukta kivipi lazima paonekane .
Lakin pia kuna ambao ukilala unakuwa mdogo Sana kama kidole cha mwisho lakini ukisimama unakuwa mkubwa Sana na hawa inasemekana Wana nguvu nyingi za kiume na sio wengi.

Na wanaume wengi wameumbwa hivyo.

Mwisho nguvu za kiume sio kuwa na mkuyenge mkubwa kuliko Bali ni utundu Tu.
Nimekuelewa Kiongozi. Pamoja sana.
 
Mimi nafikiri swala hapa ni
1. Kuwa na hela.
2. Kumpata mtu sahihi kwako. Kuna wananawake wenye nyuchi ndogo pia.
3. Kumjua mpenzi wako anataka nini. Kuna wanawake wanafika kilele bila kuingiziwa kitu. Kwa mfano wanapenda kucheza kisimi only.
4. Kujiamini..
5. Kupunguza kitambi.

Lakini pamoja na hayo...bado inategemea na ni namna gani una tafasiri kibamia.
 
√Hivi ni kwa nini mwanamke anaweza kutumia vidole vyake viwili akafika orgasm na mwanaume mwenye uume wa nchi 4 au 5 akashindwa??

√Ukubwa wa uume hauna maana sana kwenye sex..

√Anatomy ya mwanamke inasema kuwa,Uke una nerves chache kwenye sehemu mbili;

-sehemu karibu na mlango wa uke..sentimita chache tu
-sehemu karibu na cervix

You tell me how big size is essential for woman sexual orgasm..

√Mimi naona bana ishu ni kuwa na uume wenye afya i.e unasimama vuzuri ...Na pia kuwa mtundu.
 
Back
Top Bottom