Uzi maalumu kwa wanaotafuta vibarua na wenye vibarua

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,511
40,600
Tutumie uzi huu mwenye kibarua (kazi ya muda mfupi) aeleze kazi aliyonayo na inatakiwa ifanyike lini; ili mwenye kuhitaji kazi hiyo ajitokeze, na wakubaliane malipo ili maisha yaweze kuendelea. Kazi hizo zinaweza kuwa:-
  • Ujenzi
  • Ufundi bomba
  • Kuosha magari
  • Kubeba taka
  • Kusafisha nyumba
  • Kuchimba mashimo
  • Kuvuna mazao
  • Kutumwa madukani
  • Ulinzi
  • Ukataji wa fensi,maua
  • Kupika
  • Kufua n.k
Karibuni tuwawezeshe vijana kupata mlo wa siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom