Uzi maalumu kwa ajili ya kujifunza namna ya kutengeneza Android Apps

Wakat unafanya kuandaa app.. Lazma Pc iwe connected kwenye internet ?
App hauandai tu kama kalatasi
Lazima uwe na software zinaitwa SDK
Wakati una unda app unatakiwa kuwa online haijalishi app yako itakuwa ya offline au dynamic

Kwa kuwa kinacho tengeneza ni software na software inategemea resources kutoka sehemu mbalimbali kulingana na code zako

Kama software kwa mda huo haina library ya kujengea function flani inaibidi i download online muda huo huo ndio ikutengenezee app


Kama code zako sio complex basi hata offline unaweza tengeneza kwa maana iki download library huwa ai zifuti zinakuwa zinatumika tu

Muda ambao zinakuwa zinahitajika

Mimi mara natumia ANDROID STUDIO na ili i function offline lazima ile bando hata 5gb ndio utakuwa unaitumia offline

Kama unahitaji kujifunza mambo haya zaidi

Unaweza kunitafuta 0682329852
Ili kupata vitabu vya kiswahili vitakavyo kujengea uwezo wa kuwa Developer chini ya usimamizi wangu
 
Ni pasua kichwa aisee mpaka sasa App ya Hello world tu ni mtihani mzito
Ingia YouTube Channel ya Jiku Tech Tips kuna playlist imeandika Android Programming itakusaidia

Na vilevile karibu katika mafunzo ya android programming

Ada ni Tsh 5000 unapata kitabu cha namna ya kufanya installation na kutengeneza project 2 za mwanzo
0682329852
 
Naamini anaweza ni kazi rahisi. Kikubwa muda tu. Si kazi ngumu kabisa ni Nyepesi sana, inayohitaji muda mwingi.

Hivyo anaweza akitenga muda
Ni kweli codding inahitaji muda sana
Japo ukiwa na kiongo zi ni rahisi sana kwa sababu unajifunza kila kitu kwa uhakika
 
Jifunze programming acha uvivu,
Ukatengeneza kitu kwa mikono yako kinakuwa pure! Na rahisi kuweza kukimantain.

Take time learn how to code your own app.
Mimi ni developer napenda kufanya modification ya function za watu na kutengeneza nnavyo taka mimi
 
Back
Top Bottom