Ushauri mzuri mkuu.
Kwa kuongezea ni kwamba anaweza kujiwekea lengo la kuongeza push up 10 kila baada ya wiki.
Kama wiki hii anapiga 10 wiki ijayo akomae apige 20,wiki inayofuata 30 na kuendelea hivyo hivyo.
Mimi nilianza na push up 20 kwa mkupuo moja kisha napiga 10 mara 3 kutimiza 50 kwa siku.
Nimekomaa na kwa sasa napiga 150 kwa siku,huwa naanza na 50 kwa mkupuo wa kwanza.Kisha napiga 40 halafu napiga 30 mara mbili.
Lengo langu nataka niwe napiga 200 kwa siku kwa mikupuo ya 50 mara nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani una kg ngapi sasa na una urefu wa cm ngapi?Wiki 2 nimefanikiwa kupunguza kg 1.5, je napatia?
ongeza juhudi kiasi, wataalamu wanashauri kama una nia ya kupunguza uzito kwa mwezi upunguze kg 4 , hata hizo upo sawa
ongeza juhudi kiasi, wataalamu wanashauri kama una nia ya kupunguza uzito kwa mwezi upunguze kg 4 , hata hizo upo sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimekimbia km 8 Push-up 50 mpka kufikia saa 5 nimekunywa juisi ya Embe tu.
Kuacha mtungi itakuwa shuguli
Kabisa mkuuKitu kingine kama umeamua kuanza mazoezi basi wewe anza tu siku hiyo hiyo, hata kama utakimbia peku wewe kiimbia tu viatu utanunua siku nyengine!
Hizi excuses za kifaa flani sina mara sijui mpaka ninunue roller ndio nianze kukata tumbo bro utaishia hivyo hivyoView attachment 1315133
Sent using Jamii Forums mobile app