Uzi maalum wa picha wa CHADEMA

Uzi maalum wa picha wa CHADEMA

Ngome kuu ya upinzani capri point mwanza
20190213_103746.jpeg
20190213_101832.jpeg
20190213_101823.jpeg
 
Picha za kuvutia sana CDM
#Kaka tena Hai (mb)
#simon mnyampanda (mwenyekiti) japo mmemtenda jambo baya
 
Mkuu huyo anaitwa kamanda Swai anapatikana Dodoma mjini namfahamu vizuri na bado yupo anaendelea na mapambanoHilo eneo linaitwa Mwanga bar(maarufu kwa nyama choma na kuku ukiondoa Chako ni Chako)kuna vijiwe vya siasa na pia kuna Bendera za Vyama vya siasa hapo nakumbuka Ccm walikuwa na mkutano wao wakataka kuondoa bendera ya Chadema ndo mziki ukawa hivyo,muhimu ni kwamba hawakufanikiwa kuondoa bendera na mkutano wao haukufanyika(mgeni rasmi wa Ccm alikuwa anaitwa Ismail Rage mbunge wa zamani wa Tabora huko ilikuwa 2011 kama sikosei)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sishangai kama mgeni rasmi alikuwa alshaabab lazima hilo litokee.
 
Back
Top Bottom