Uzi maalum wa picha wa CHADEMA

IMG_20190414_121601_688.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyo anaitwa kamanda Swai anapatikana Dodoma mjini namfahamu vizuri na bado yupo anaendelea na mapambano
Wana chadema hebu nijuzeni kama jamaa huyo bado anaishi.View attachment 1071318
Hilo eneo linaitwa Mwanga bar(maarufu kwa nyama choma na kuku ukiondoa Chako ni Chako)kuna vijiwe vya siasa na pia kuna Bendera za Vyama vya siasa hapo nakumbuka Ccm walikuwa na mkutano wao wakataka kuondoa bendera ya Chadema ndo mziki ukawa hivyo,muhimu ni kwamba hawakufanikiwa kuondoa bendera na mkutano wao haukufanyika(mgeni rasmi wa Ccm alikuwa anaitwa Ismail Rage mbunge wa zamani wa Tabora huko ilikuwa 2011 kama sikosei)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom