Hizi apartment zipo mbili tuu kwenye fensi moja na hii moja ndio ipo wazi ina vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master, sebule kubwa,dining,jiko na choo cha familia, kila apartment inajitegemea kwa kwa kila kitu kuanzia umeme wake na maji yake dawasco BEI NI 250k x 6,zipo kimara temboni upande wa kulia km unaenda mbezi kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2.5
Temboni Nyumba zipo
Kwa maelezo nichek kwa 0713415537
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.