Gwangzu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2017
- 2,457
- 3,819
Habari wapendwa nilipotea kwa muda kidogo huku Jf. sasa nimerudi na uzi mpya ambayo tutajifunza online na kuna wajuzi wengi sana humu Tanzania sasa hii ni fursa ya mtanzania kusomea java programing language hii ni lugha ya computer sasa leo sitakuwa mfafanuaji sana nadhani nyote mnajua kuwa Java ni aina mojawapo ya programing language amayo inamanufaa kama umesomea hii language .
Katika dunia ya sasa kila kitu miaka ya mbele kitakuwa kinaendeshwa kwa computer computer itakuwa inaambiwa ikifika muda flani fanya hichi inafanya binadamu itakuwa kazi yake ni kula kulala kunywa na kula raha za dunia sasa huwezi itumikisha computer bila kuwa na program endeshi au huwezi kuwa na smartphone kama huna application sasa computer kuiagiza kitu unachotaka huwezi iagiza bila kuwa na program na program inatengenezwa na mwanadamu na kuitengeneza mpaka uwe umesoma lugha ya computer na kuielewa.
sasaleo uzi huu ni kwaajili ya kufundisha hapa kitu unachokijua kuhusu na si lugha nyingine zaidi ya java tutaanza kujifunza kama beginning humu kwahivyo suscribe uzi kwanza utamu unakuja.
learnjavaonline.org