Uzi maalum kwa wale waliotengana mume/mke

Uzi maalum kwa wale waliotengana mume/mke

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
3,223
Reaction score
5,150
Bila ya kupoteza muda, natumai wote mpo salama, wanajamvi,

Ningependa tuchangie hoja katika uzi kuwa ni kipi ama kitu gani unacho kikumbuka sana alichokufanyia mkeo ama mumeo wakati bado mkiishi pamoja.

Kwa mimi binafsi hakuna kitu ninacho kimiss kwa mama watoto wangu kabla ya kutengana nae ni chakula chake kilikua na ladha ya aina yake.

Kikubwa zaidi ndevu zangu zikizidi kukua ndio namkumbuka zaidi kwasababu ndio ilikuwa kitu cha kwanza yeye kuninyoa ndevu endapo zikianza kukua.
 
Bila ya kupoteza muda,natumai wote mpo salama,Wanajamvi ningependa tuchangie hoja katika uzi kuwa ni kipi ama kitu gani unacho kikumbuka saana alichokufanyia MKEO ama MMEO wakati bado mkiishi pamoja.
Kwa mimi binafsi hakuna kitu nacho kimiss kwa mama watoto wangu kabla ya kutengana nae,ni chakula chake.kilikua na ladha ya aina yake
Kikubwa zaidi ndevu zangu zikizidi kukua ndio namkumbuka zaidi kwasababu ndio ilikuwa kitu cha kwanza yeye kuninyoa ndevu endapo zikianza kukua


Pole mkuu, amefariki kwani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom