Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

Msaada cm yangu Tecno p3 Android version 4.0.4 inakataa kabisa Ku install WhatsApp tokea nifute, Na kwenye play store ina nambia not comprictable with my device, msaada wenu wapi nita download maana nikidownload kwa 9app ina install lakini kabla ata ya option ya kuweka no inaitaji ku update.
Duh bado unatumia simu ya android4 wewe komando kweli
 
tecno for Africa boss.....hakuna watumiaj wengne wa tecno tofaut na Africa..
Tunakula tulicho na uwezo nacho.
Tunakula mkate kwa shida, lakini wanakuja watu kutuambia kuwa, kama tunaupata mkate kwa shida, basi tutafute keki!
Tutaweza kweli?
 
Kuna rafiki angu yupo vietnam. Nilijaribu kumuuliza kama kwao kuna brand ya tecno. Akabak anashangaa na kusema hakuna hiyo brand. Tecno is for AFRICA
 
Nina tecno L9 hapa inapiga kazi since September mwaka Jana na haijawai kuniletea zengwe lolote
Tecno nzuri kama huna matumizi mabovu ya simu.labda umeingia jamii forum,facebook na whatsapp.kupiga na kupokea simu,sms kadhaa umemaliza.hapo utaenjoy.
Ila mzee mie kwa siku natumia mpaka GB5.ujanishauri bado
 
Tecno nzuri kama huna matumizi mabovu ya simu.labda umeingia jamii forum,facebook na whatsapp.kupiga na kupokea simu,sms kadhaa umemaliza.hapo utaenjoy.
Ila mzee mie kwa siku natumia mpaka GB5.ujanishauri bado
inaweza kila kitu tatizo ni kiooo tu
 
uzuri wa tecno u root
halafu uweke xpozed framwok
utaifanya unavo taka hata ukitaka iwe kama iphone
 
Niko na tecno J5 iko na tatzo hilo, kila likitokea huwa nairesert na inakaa poa na imekuwa na ttz hilo karibia kila baada ya mwezi kiukweli linanikera sana mwenye kujua namna ya kuliondoa bila kureset please anisaidie
Screenshot_2018-12-11-15-08-53.jpeg
 
Niko na tecno J5 iko na tatzo hilo, kila likitokea huwa nairesert na inakaa poa na imekuwa na ttz hilo karibia kila baada ya mwezi kiukweli linanikera sana mwenye kujua namna ya kuliondoa bila kureset please anisaidieView attachment 964684
Hapo ni virus tu wamezidi sasa unapoireset mwenyewe wale virus hawaishi bali wanapungua tu kidogo dawa ni kupeleka kwenye ile mashine ya kuiflash kabisa hao virus wataisha wote na itatulia kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom