Uzi maalum wa kujuzana maeneo ya starehe kwa gharama nafuu

ze big

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
382
350
Habarini wadau nimeona nianzishe uzi huu kusaidia watu tuweze kujuzana maeneo ya starehe yanaweza kuwa mapya au yazamani ila muhimu ni kwamba yawe ya gharama zinazowafaa watu wa kawaida na wa uchumi wa kati. Maeneo haya yanajumuisha; sehemu za kulala, Bar maarufu zilizo changamka, Maeneo mapya yakujipatia chakula na vinywaji na kadhalika. Mahali popote Africa mashariki ruksa kupapendekeza.
 
Huu mwezi wa Toba, mrudie Muumba wako

Ukitaka starehe sehemu mbili tu... Msikitini au Kanisani. Ulizia popote watakuelekeza zipo nyiingi tu.
 
Habarini wadau nimeona nianzishe uzi huu kusaidia watu tuweze kujuzana maeneo ya starehe yanaweza kuwa mapya au yazamani ila muhimu ni kwamba yawe ya gharama zinazowafaa watu wa kawaida na wa uchumi wa kati. Maeneo haya yanajumuisha; sehemu za kulala, Bar maarufu zilizo changamka, Maeneo mapya yakujipatia chakula na vinywaji na kadhalika. Mahali popote Africa mashariki ruksa kupapendekeza.
Eagles pub na plus24 de lounge...kwa wale wa Mbinga ruvuma
 
Back
Top Bottom