FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Acha uongo, huu uzi ndiyo kwanza upo "page" ya 19. Hiyo "page ya 143" umeitolea wapi?Nimeishia Page ya 143! Katikati ninekutana na madini haswaa ya Hawa Gabachori lakini ghafla katokea Sijui wapi mpuuzi mmoja anajiita Faizafoxy afu anaonekana ni Mwanamke, Huyu hana Akili kabisa.
Typed Using KIDOLE
Jipime, usicheze na wasio na akili, watakuumbua.