Uzembe wa hali ya juu uliowahi kuufanya

Uzembe wa hali ya juu uliowahi kuufanya

Kama mwalimu ndio umeandika hivi hao wanafunzi watakuwa vilaza. Hariri mada yako kabla hujaposti.
 
Ww jamaa ni mzembe kama mm tu....yaan demu mkali anakuja kwangu,anapika,anadeki,anaosha vyombo,tunakula,tunapumzika baadae jioni namsindikiza kwake.....mm kweli ni mjinga
sema mkuu kuwa mjinga ila baadae sawazisha ,,,ni story to tell kwa uzembe huu aisee
 
Duh jamaa ni mzembe sana na bado hajaacha uzembe.Anavunga siku hizi anawachapa nao wakati uandishi wake unawakilisha uzembe wake.Badilika mkuu acha uzembe.
 
Duh jamaa ni mzembe sana na bado hajaacha uzembe.Anavunga siku hizi anawachapa nao wakati uandishi wake unawakilisha uzembe wake.Badilika mkuu acha uzembe.
hamna mku kweli tena sio mzembe kiivo..siku hiz ni striker kabisa sema niliandika huku naharaka ya kupokea mrembo alikuwa anakuja na boda boda alikuwa njiani
 
Back
Top Bottom