Uzembe wa hali ya juu uliowahi kuufanya

Uzembe wa hali ya juu uliowahi kuufanya

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Posts
6,297
Reaction score
2,780
watu wan aexoerience ya uzembe katika mapenzi iwe kike au kiume..

niliwahi mpapa mdada nkiwa namfundisha ni college hapa akaregea...siu nyingine kaniita kwake nkamtengenezea computer tena mara mbili..moja wapo nikaon avideo kwa computer nkaplay ni ngono aisee,...halafu mtoto katulia pembeni kimya..nkajifanya naangali amara natoa nazuga sihtuki ila kumbe uzembe wa hali ya ju nilimuacha yani sikuanza makeke nkidhani ni ustaarbu mpaka eo najuta kwa nini sikumgegeda huyo binti....mpaka leo huwa nin hasira hadi nakuwa na mademu wengi kisa nasawazisha..

JE UZEMBE GANI ULIOWAHI FANYA MPAKA UKOSA BINTI WA WATU AU MREMBO AU MDADA AKAONDOKA BILA WEWE KUMGUSA...TENA USIKUTE YE MWENYEWE ALIKULENGESHEA IL AUKAWA MZEMBE KABISA....NAKUBALI MAKOFI KWA KUTOFANYA KWELI KWA HUYO BINTI..

mpaka leo yupo ana mtu wake itakuwa tu ila nkimsalimia yupo alikujaga nimsaidie mambo ya CV ila najitahidi kusolve dah siju intafanikiwa lini...ila sikumla kabisaa mpaka leo najiona nilifanya uzembe sana..japio sa hv UZEMBE HAUPO..sa hv navuruga balaa
 
Ndio maana hata mada yenyewe ya kizembe
 
huo sio uzembe bali ni kutojua wajibu wako
 
Nakumbuka nimepanda gari buguruni naelekea mbezi gafla akaingia Dada mmoja hivi mrembo nikakaa nae nyuma kabisa tulikuwa wawili tu.

Ile gari tu linaanza kuondoka akaanza kunilalia begani kwamba anasikia usingizi .....itaendelea
 
Write your reply...umeandika ukiwa na tonge la moto mdomoni?
 
Back
Top Bottom