Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Toka jana hatujapata huduma katika matawi yoote ya akiba, niko tawi la kijitonyama toka asubuhi eti system ime corrupt. nimemtoa mgonjwa wangu muhimbili ili atibiwe private hospital kwa gharama kubwa, hawa wazembe eti system nzima imefail!!! nchi hii?
wewe kwa vyovyote vile iwavyo utakuwa ni mpumbavu. hivi hata ukigombana na mke wako lazima uje uandike hapa janvini? unatujazia pumba tu.
Weye mutu, mbona munkari.
Kama haiku-touch si kunja vidole vyako kwani lazima ucomment?
Vidole vingine bwana!!!!
haya ni mambo ya technogia. Benki ziko nyingi ameshaa account yako.
Sidhani kama wana hiyo vitu yote.Aibu, hata offline?.which mtandao, inamaana hawana disaster recovery unit? hawana a backup link??
Toka jana hatujapata huduma katika matawi yoote ya akiba, niko tawi la kijitonyama toka asubuhi eti system ime corrupt. nimemtoa mgonjwa wangu muhimbili ili atibiwe private hospital kwa gharama kubwa, hawa wazembe eti system nzima imefail!!! nchi hii?
Kuna mtu anaitwa Marandu alitabiri hivi karibuni mabenki karibu 22 kufilisika sasa ndo utabiri unatimia au