Uzembe, Ufisadi Akiba Commercial bank!!!! inakera

Technology

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
769
284
Toka jana hatujapata huduma katika matawi yoote ya akiba, niko tawi la kijitonyama toka asubuhi eti system ime corrupt. nimemtoa mgonjwa wangu muhimbili ili atibiwe private hospital kwa gharama kubwa, hawa wazembe eti system nzima imefail!!! nchi hii?
 
BOT, TRA, Takukuru hebu tupieni macho haraka saana pale, they must be doing something!!!!
it is unusual
 
Toka jana hatujapata huduma katika matawi yoote ya akiba, niko tawi la kijitonyama toka asubuhi eti system ime corrupt. nimemtoa mgonjwa wangu muhimbili ili atibiwe private hospital kwa gharama kubwa, hawa wazembe eti system nzima imefail!!! nchi hii?

Hamia CRDB Bank

which mtandao, inamaana hawana disaster recovery unit? hawana a backup link??
 
wewe kwa vyovyote vile iwavyo utakuwa ni mpumbavu. hivi hata ukigombana na mke wako lazima uje uandike hapa janvini? unatujazia pumba tu.
 
wewe kwa vyovyote vile iwavyo utakuwa ni mpumbavu. hivi hata ukigombana na mke wako lazima uje uandike hapa janvini? unatujazia pumba tu.

Weye mutu, mbona munkari.
Kama haiku-touch si kunja vidole vyako kwani lazima ucomment?
Vidole vingine bwana!!!!
 
Weye mutu, mbona munkari.
Kama haiku-touch si kunja vidole vyako kwani lazima ucomment?
Vidole vingine bwana!!!!

Ndugu haturuhusiwi kutajana majina, sheria ingeruhusu ningekutajia jina la huyu Ngwendu usingeshangaa kwanini amejibu hivyo....
 
Mwenye Benki unamfahamu?
Kama mwenyekiti ni Dr. Idris Rashid na naskia amewatoka kaanzisha Bank ya Sharia Law anataka Mhamie Islamic Bank. Njie majuha na Kiongozi wenu Juha Kalulu. Akiba ilianzishwa kwa pesa yenu mkaingia kichwa kichwa ili mkopeshwe tena pesa za umma bull shit. Hamia CRDB Kama ulivyoshauriwa hapo juu. Tanzanians are not serious as usual umechukua hatua gani just close your account au bado mkopo hujamaliza kulipa just shut up.
 
It is true walituhadaa tukaingia kichwa kichwa tukanunua hisa eti benki ya wazawa toka wakati huo mpaka leo wanaanzisha matawi kwenye nyumba za bei kubwa lakini hata mwaka mmoja hakuna gawio kwa wanahisa!! Kuna umuhimu wa wanahisa kukutana na kuujadili uongozi wa Akiba Commercial bank ,kwani kuna benki zimeanzishwa nyuma lakini wanatoa dividends!!
 
kimbilieni crdb,wale watu wamejipanga ila tu wanawa underpay wafanyakazi wao,otherwise ndo reliable benki ya kada zote.
 
Toka jana hatujapata huduma katika matawi yoote ya akiba, niko tawi la kijitonyama toka asubuhi eti system ime corrupt. nimemtoa mgonjwa wangu muhimbili ili atibiwe private hospital kwa gharama kubwa, hawa wazembe eti system nzima imefail!!! nchi hii?

Leo siku ya 8 no service!!! Kesho asubuhi no mjadala nafunga a/c yangu wabaki na kimeo chao hawana adabu wachawi wakubwa.
 
Akiba sio bank ile ni saccos nilishahamisha pesa zangu mapema sana wapuuzi sana wale kama una matatizo wana wajibu ya ovyo sio hospitality amia crdb au dtb and enjoy the hospitality services
 
Kuna mtu anaitwa Marandu alitabiri hivi karibuni mabenki karibu 22 kufilisika sasa ndo utabiri unatimia au
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom