fire and fury
Member
- Jan 8, 2018
- 12
- 3
Ndugu Mteja,Siku ya pili leo waya zimekatika kwenye line ya kutoka Hindu hospital kwenda Bugando Hospital hapa Mwanza.
Nyaya
zinaning’inia na kuhatarisha maisha.
Cha kushangaza gari la Tanesco emergency linapita maeneo hayo hayo. Ukiwauliza wanasema hawana taarifa rasmi.
Ukipiga simu ya emergency unaambiwa wana taarifa wanashughulikia.
Hakuna kinachofanyika mpaka maafa yatakapotokea.
Ndugu mtejaNdugu Mteja,
Tunashukuru kwa taarifa hii muhimumu tumeipokea kwa ufatiliaji na hatua zaidi
Nendeni sio kutoa Namba tuNdugu mteja
Tunashukuru tena kwa kuwasiliana na TANESCO,tunakujulisha kuwa taarifa hii imeshafanyiwa kazi
Endelea kufurahia huduma
0748550000
Kazi hii imeshafanyiwa kazi tafadhali kama unalalamiko au taarifa nyingine tafadhali tupatie kwa hatua zaidiNendeni sio kutoa Namba tu
SAWAKazi hii imeshafanyiwa kazi tafadhali kama unalalamiko au taarifa nyingine tafadhali tupatie kwa hatua zaidi
Mdau kapandisha uzi siku ya 3 sasa ndipo mnaamka kutoka usingizini kama utadhani mnaishi visiwa vya Hawaii(Mashariki ya Mbali)Ndugu mteja
Tunashukuru tena kwa kuwasiliana na TANESCO,tunakujulisha kuwa taarifa hii imeshafanyiwa kazi
Endelea kufurahia huduma
0748550000
Ahsante sana, tutaendelea kuboresha, mrejesho wako ni maelekezo kwetu kama huduma kwa watejaMdau kapandisha uzi siku ya 3 sasa ndipo mnaamka kutoka usingizini kama utadhani mnaishi visiwa vya Hawaii(Mashariki ya Mbali)
Hovyo kabisa, hamjali
Ndugu MtejaTanesco mwanza Ni jipu,huduma mbovu,ufatiliaji duni,dharau nk,hata hizo namba mnazotoa Ni geresha tu,mnachojua ninkuwaita watu ndugu tu,mkipita na vile vigari vyenu vya kijani mnajonaga Sana wakati huduma zenu Ni uhalo
Hizo namba huwa hazipatikanagiNdugu Mteja
Tafadhali tupatie taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Simu
Eneo
Wilaya
Namba ya taarifa
Tatizo
Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja
SIMU 0748550000
Tafadhali tumia ukurasa huu tukuhudumia cha kuzingatia ni taarifa kamili tuHizo namba huwa hazipatikanagi
Ndo mbinu yenu mpya ya kujua majina huku jf [emoji23][emoji23]Ndugu Mteja
Tafadhali tupatie taarifa kamili kwa huduma bora
Jina
Simu
Eneo
Wilaya
Namba ya taarifa
Tatizo
Ahsante kwa kuwasiliana na TANESCO huduma kwa wateja
SIMU 0748550000