Uzembe huu wa EWURA nani kubeba gharama? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uzembe huu wa EWURA nani kubeba gharama?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ugweno, Nov 19, 2011.

 1. U

  Ugweno Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo EWURA wametoa tangazo kwa umma katika vyombo vya habari ikiwa ni wito wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu ombi la Tanesco kupandisha bei ya huduma ya umeme.Tangazo ni full page ambayo naamini si chini ya 1.5milioni.
  Sasa jedwali la bei linaonyesha bei mpya inayopendekezwa ni ndogo kuliko bei ya sasa (inayopaswa kupandishwa)?!? Hakika hili ni kosa la utayarishaji wa jedwali na nina amini wakikundua watarekebisha na kulileta upya sababu ni tangazo linatotoka kisheria.
  Endapo tangazo lipo kwenye magazeti mengine nani anabeba hii gharama ya uzembe?
  Source:gazeti la mwananchi leo
   
Loading...