Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Huyu mzee hana mshauri wa mazoezi. Hizo weights ni kubwa mno. Anajistrain tu hapo. Kwenye mazoezi unaanza na weights ndogo! Akiendelea hivi kuna hatari ya kuumiza pingili moja ya mgongo.