Uzazi wa mpango upi salama?

Uzazi wa mpango upi salama?

new forest

Member
Joined
Mar 28, 2024
Posts
46
Reaction score
126
Habari wana JF?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka wa pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv.

Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki iliyopita kaenda kujipima Leo kakuta ni mjamzito na kitanzi anacho.

Hii imetuacha na maswali mengi, na hatuko tayari kupata mtoto mwingine Kwa saizi.
Kwa mwana JF anayefahamu DAWA anayoweza kutumia au njia salama ya kutoa huo ujauzito sababu bado ni mchanga SANA. Msaada tafadhalini🙏
 
Ulienda kupima au umempelekea mke UKIMWI nyumbani?
Screenshot_2026-02-03_211350.jpg
 
Habari wana jf?. Mimi Niko kwenye ndoa mwaka WA pili, nimebahatika kupata mtoto Mmoja ana mwaka na miezi miwili saiv. Tulikuwa tunatumia njian ya UZAZI WA MPANGO WA kitanzi na mke WANGU, na kitanzi chenyewe kawekewa kina kama miezi nane tu ila chakushangaza alikuwa hajaingia period tangu wiki iliyopita kaenda kujipima Leo kakuta ni mjamzito na kitanzi anacho. Hii imetuacha na maswali mengi, na hatuko tayari kupata mtoto mwingine Kwa saizi.
Kwa mwana Jf anayefahamu DAWA anayoweza kutumia au njia salama ya kutoa huo ujauzito sababu bado ni mchanga SANA. Msaada tafadhalini🙏
Off target during climax shooting is the only safest way!
 
Angalizo: kutoa mimba ni kufanya mauaji, yaani unakuwa muuaji.
Wanandoa kama hamko tayari kupata mtoto msifanye tendo la ndoa.
 
Hakuna njia ya uzazi wa mpango yenye ufanisi wa asilimia 100 isipokuwa kutokufanya tendo la ndoa kabisa( abstaining). Hata waliokata mirija ya uzazi ( kufunga kizazi tunaitaga sisi waswahili) kuna ambao ile mirija inajirudi na wanapata mimba( nimeshuhudia hili mwenyewe). Kwahiyo kaa ukijua njia pekee ya asilimia 100 ya kutokupata ujauzito ni kutokufanya tendo la ndoa kabisa. Huo ndo ukweli na uhalisia.
 
Mirija imekatwa inajirudi vipi? au maombi
 
Wauaji wawili wametumana kutafuta ati safe abortion method. Mlipokuwa mnalombana hamkupima madhara yake?

Ongea na wazee watakupa kimti cha kumvalisha mkeo kiunoni na kuzuia mimba kabisa hadi ukihitaji.
#Afrika raha tupu.
 
Back
Top Bottom