Uzanzibari + Utanganyika = Utanzania

Huyu Jussa anavituko afanye arudi kwao Oman,wenye Zanzibar tunawajua.yani ni sawa na wale walowezi wa South Africa kutoka uholanzi waanze kuwapangia Wasaizi namna gani ya kuishi.
 
Muungano ulikuwa na umuhimu kwenye miaka ya 60 sio sasa

Ni muda wa tanganyika kuvunja huu udanganyifu hawa wapemba waliyokwapua ardhi yetu kwa mahekari warudi kwao
Muungano sehemu yoyote ni muhimu akina U.S.A,China,Russia India pamoja na ukubwa wa Nchi zao bado wanataka maeneo wewe hutaki Muungano.
 
Kila siku kelele tu simuuvunje huo muungano wenyewe sijawahi ona Hata faida yake kwanza,muondoke mtuachie nchi yetu!!! #Mungu ibariki Tanganyika!

Hakuna muungano, kuna uvamizi wa jeshi la Tanganyika lililoletwa na Nyerere na mpaka leo lipo.
 
Huyu Jussa anavituko afanye arudi kwao Oman,wenye Zanzibar tunawajua.yani ni sawa na wale walowezi wa South Africa kutoka uholanzi waanze kuwapangia Wasaizi namna gani ya kuishi.

Propaganda za Nyerere hizo siyo kweli.
 
Jamaa chakwao chakwao juzi kati nilikuwa moro ndani ndani huko kwenye mashamba ya mpunga wamejazana kibao wananunua matani na matani ya mchele wala hamna anae wagasi sasa nenda kwao uone.
Mbona wachina wamejazana kibao na bakora wanakupigeni na njaa zenu, imekua nongwa mzanzibari kuwepo tanganyika?
 
Hivi kama jambazi lenye silaha likivamia nyumbani kwako, kati yako wewe mwenye nyumba na hilo jambazi ni yupi amefanya makosa na ni yupi anatakiwa kuondoka?
Kwa hiyo hilo jambazi ni Tanganyika au ni Zanzibar? Kwangu mimi naona huyo jambazi ni Zanzibar! Na hivyo anatakiwa kuondoka kwenye huu Muungano.

Hii nchi siku zote naichukulia kama kupe tu. In english tunaita parasite.
 
Mbona wachina wamejazana kibao na bakora wanakupigeni na njaa zenu, imekua nongwa mzanzibari kuwepo tanganyika?
Wachina gani hao wanao tuchapa hizo bakora? Halafu ni nani aliyekuambia Watanganyika tuna njaa? Nyinyi watu mna shida sana.

Kama tungekuwa na njaa, mngejazana huku kuja kununua mchele na mazao mengine ya chakula? Nyinyi bila ya Tanganyika, si chochote! Na ndiyo maana kila siku ni kudeka deka tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…