ningependa kujua wapi Tanzania kunazalishwa zao hili la mzaituni au kwa kingereza wanaina Olive
nitafurahi sana kupata maelekezo drop me mail @ macnabsons@telkomsa.net
nitafurahi sana kupata maelekezo drop me mail @ macnabsons@telkomsa.net
nashukuru sana !!! kwa maelezo yako mtu mwema naweza kupata hizo no za hawa jamaa wa SUA kwani nataka kuazisha kilimo cha mizaituni na ningependa kuongea nao kujua inakuwaje mimi sio kwa ajili ya bustani nataka kwa ajili ya kuzalisha mafuta yake nipo na sokotayari :A S-alert1:
Twanga PM nikupe jina lake,simu yake na mtaa anaoishi pale Morogoro. Si vizuri kuanika hapa bila ridhaa yake.
Please send me mail macnabsons@telkomsa.net
nitumie jina no yake pia cell phone yake nimpigie
Nenda kwa mail inbox yako,utaona.
Mkuu Malila: naomba nami unirushie hiyo Nambari ya mdau. Inachukua muda gani kuanza kutoamatunda?
Shadow!
Sijawahi kuona shamba la mizeituni hapa bongo, ila miche ipo ktk bustani mbalilmbali. Niliiona miche mingi pale SUA mwezi wa tisa mwaka huu, nitajaribu kumuuliza jamaa wa SUA ili kama anajua po pote palipo na shamba ndani ya Bongo atuambie.
Wengi wamepanda mzeituni kama pambo shambani au bustanini.
nahitaji miche ya mizaituni, mkuu naomba hiyo namba pia, my email is kevinshikonyi@gmail.com. Holla back!
wapi naweza pata miche ya mizaituni?