JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
ukishakuwa ccm akili zako unamkabidhi mukama..si january wala huyo ngwalatwala wote akili yao kama lusinde,..unafanya mchezo na vikao vya ccm,.sitta aliitwa na akafyata na ukongwe wake wote...
Bi chau una visa weweKawaambia kweli, maana kaona Uzini kamujibu wa Raza mmetumia millioni 60 kwa kujipatia kura 281 yaani kila kura moja mliyopata imewagharimu TZS 213,523 na mmeangushwa vibaya sana, mmpepata aslimia 5 tuu, (yes 5%) ya kura walizopata CCM, wamewagaragaza kwa asilimia 95.
Sasa huko Arumeru yuko mzee mamvi, aiseee, poleni na mapema. Ni kama kuchukuwa fedha za umma mkazi flash maliwatoni.
Pia unakua na akili kama za tambwe hizza.
Pia unakua na akili kama za tambwe hizza.
Inawezekana pia zikawa kama za job Ndugai
Bi chau una visa wewe
Lowassa anatisha, halafu hawa CCM nuksi kweli,
Kawaambia kweli, maana kaona Uzini kamujibu wa Raza mmetumia millioni 60 kwa kujipatia kura 281 yaani kila kura moja mliyopata imewagharimu TZS 213,523 na mmeangushwa vibaya sana, mmpepata aslimia 5 tuu, (yes 5%) ya kura walizopata CCM, wamewagaragaza kwa asilimia 95.
Sasa huko Arumeru yuko mzee mamvi, aiseee, poleni na mapema. Ni kama kuchukuwa fedha za umma mkazi flash maliwatoni.