mtanganyika asilia
Member
- Aug 27, 2014
- 15
- 5
Kubenea ni mfano wa wazalendo halisi waliobakia hai Tanzania.Hakika nchi yetu itakombolewa mara ya pili na watu makini na siwapiga kelele na majungu kama walioko kwenye genge linaloendelea kule kati kati ya nchi!Mungu ampe nguvu na ulinzi mzalendo huyu!