rajab degi
Member
- Sep 11, 2015
- 7
- 5
Ingawa elimu ya uraia kwa mtanzania wa kawaida bado inahitajika Sana.binafsi napenda kukiri Sasa taifa la Tanzania na watu wake wameanza kujielewa na kuzidisha UZALENDO kwa taifa.
Miaka ya nyuma kila lilipotokea Jambo lolote linalohusu serikali,taifa na mataifa wananchi waliowengi hawakuwa kabisa upande wa serikali.lakini Sasa huwa nafarijika Sana nikiingia mitandaoni na kuona wimbi la vijana wakiuvaa UZALENDO na kulitetea taifa.
Na kilichokuzuri Sana vijana hao wanaopigana kwajili ya taifa lao,nikutoka jamii zote,waislam kwa wakristo,chama tawala na kutoka upinzani pia.
Watanzania wamekua wakukosoana Sana wenyewe kwa wenyewe ndani,kutoka na mifumo iliopo ila wamekua pamoja Sana pale mtu aliposhambulia taifa letu.
Tukitizama kwa mfano tu vita ya maneno,UZALENDO na uchumi dhidi ya jirani zetu Kenya na Rwanda.hakika unapata faraja jinsi wananchi walivyokua wazalendo kwa taifa lao.
HAKIKA HII NDIO TANZANIA YA MWALIMU NYERERE ALIOITAKA.