Uzalendo kwa nchi yetu tanzania

Uzalendo kwa nchi yetu tanzania

SKY TP

Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
10
Reaction score
0
Hivi nawauliza watanzania ni chama kipi kati hivi vya siasa tulivyonavyo kitatusaidia kupiga atua kiuchumi ama ni siasa zipi zinazotufaa sisi ili zitusaidie kutoka hatua moja hadi nyingine?
 
a chama hakuna ila watu wapo.

mfano, dr slaa,mbowe,arfi,zito,mnyika,mdee,safari,baregu,lema,wenje,heche,waitara nk.

ukiweza kuwapa hawa watu nchi utaona mabadiliko.
 
Back
Top Bottom