Lumia ni simu za Nokia zinazotumia OS ya windows 8.mwenzenu miye mmeniacha njiani, lumia ni kitu gani?? naomba msinitukane nielimisheni 2.
vp umepata zote!?unaniharibia thread mkuu!
Lumia hizi zinahitajika 620, 520, 800, 900, 601, 701 na 610.
nipm aina na Bei yako.
mbna hjibu xaxa!?nokia lumia 625 mpya ndani ya boksi na screen protecter haijaondolewa kwenye simu. ina earphone na usb wire,laki 4 original from uk
pole now im using lumia 520..Lumia 520 kwa 300,000/=...inakuja na accesories zake zote na box. Imetumika week tatu.
sababu za kuiuza...nimeshindwa kuitumia.
0718355635
mwenzenu miye mmeniacha njiani, lumia ni kitu gani?? naomba msinitukane nielimisheni 2.
we unatakaje kijana!?