UZA huawei ascending au HTC

UZA huawei ascending au HTC

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
kma una smart phone yoyote kati ya hizo juu tafadhali taja bei tumake biz.nes...bajet yangu 100000-150000
karibuni pm
 
Huawei ascend laki na,nusuwe hutakisimu unataka kuchekesha watu hapa...
 
kma una smart phone yoyote kati ya hizo juu tafadhali taja bei tumake biz.nes...bajet yangu 100000-150000
karibuni pm

Mkuu umeanza kazi ya udalali wa simu upate hela ya kula chuo ehee..!
 
Mkuu umeanza kazi ya udalali wa simu upate hela ya kula chuo ehee..!
ulijuaje...mdogop mdogo kk tunajaribu bahat yetu. ciunajua mjini mwanaume hafi kwa njaa ila atachelewa kula
 
kma una smart phone yoyote kati ya hizo juu tafadhali taja bei tumake biz.nes...bajet yangu 100000-150000
karibuni pm

Ipo huawei 300 nahitaji 120 tu iko ktk hal nzuri,nicheki 0714010362
 
Iko htc desire c. Iko kwenye hali nzuri pamoja na vi2 vyake. 0686 846613
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom