Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,774 Reaction score 40,446 Aug 7, 2017 #1 Mana sio kwa wingi huu wa watu bunju Sent from my head using brain
MWENYE HEKIMA JF-Expert Member Joined Mar 3, 2012 Posts 373 Reaction score 231 Aug 7, 2017 #2 nani uyo mkuu?
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,273 Reaction score 96,401 Aug 7, 2017 #3 Mzee gani huyu??
Limbani JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 1,438 Reaction score 444 Aug 7, 2017 #4 JPM Sent using Jamii Forums mobile app
N ndayilagije JF-Expert Member Joined Nov 7, 2016 Posts 7,491 Reaction score 8,305 Aug 7, 2017 #5 Ni kweli wanaojitambua wanampenda coz si mnafiki. Sent using Jamii Forums mobile app
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,561 Reaction score 105,360 Aug 7, 2017 #6 Duhh.... Kwahiyo hapo habari ndio imekamilika...
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Aug 7, 2017 #7 Hebu acheni na Lowasa apite na kuongea na watu ili tupime. Hakuna asiye na wafuasi hata kidogo hapa duniani, hata awe katili vipi.
Hebu acheni na Lowasa apite na kuongea na watu ili tupime. Hakuna asiye na wafuasi hata kidogo hapa duniani, hata awe katili vipi.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 Aug 7, 2017 #8 Avatar ya mleta kituko inasadifu akili yake
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,467 Reaction score 7,259 Aug 7, 2017 #9 Akapimwe mkojo Sent using Jamii Forums mobile app
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,374 Reaction score 38,248 Aug 7, 2017 #10 kichomiz said: Avatar ya mleta kituko inasadifu akili yake Click to expand... Mleta ....! Sent using Jamii Forums mobile app
kichomiz said: Avatar ya mleta kituko inasadifu akili yake Click to expand... Mleta ....! Sent using Jamii Forums mobile app
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,139 Reaction score 12,882 Aug 7, 2017 #11 Mkuu huwa tunaangalia na kutoa ushamba, Maana huyu mzee kumuona live ni marachache sana, pia ile spidi na wingi wa magari ni kivutio tosha cha kumfanya mtu asimame kushangaa ma v8. _ where ever you are remember me_
Mkuu huwa tunaangalia na kutoa ushamba, Maana huyu mzee kumuona live ni marachache sana, pia ile spidi na wingi wa magari ni kivutio tosha cha kumfanya mtu asimame kushangaa ma v8. _ where ever you are remember me_
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 7,936 Reaction score 10,561 Aug 8, 2017 #12 Sheitani mwenyewe ana wafuasi aje kuwa huyo mzee wako hata ww kuna watu wako wanakupenda usishangae
Mgambilwa ni mntu JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 2,869 Reaction score 3,188 Aug 8, 2017 #13 ndayilagije said: Ni kweli wanaojitambua wanampenda coz si mnafiki. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanaomuongea vibaya ni kwa sababu ni viumbe dhaifu vilivyotegemea mteremko na kuzoezwa a hadi idealistic huku wakiicheleweshea maendeleo jamii.
ndayilagije said: Ni kweli wanaojitambua wanampenda coz si mnafiki. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanaomuongea vibaya ni kwa sababu ni viumbe dhaifu vilivyotegemea mteremko na kuzoezwa a hadi idealistic huku wakiicheleweshea maendeleo jamii.
sicam Member Joined Aug 7, 2017 Posts 75 Reaction score 44 Aug 8, 2017 #14 troublemaker said: Mana sio kwa wingi huu wa watu bunjuView attachment 560530 Sent from my head using brain Click to expand... Sasa ume post nini Sent using Jamii Forums mobile app
troublemaker said: Mana sio kwa wingi huu wa watu bunjuView attachment 560530 Sent from my head using brain Click to expand... Sasa ume post nini Sent using Jamii Forums mobile app
Sammo Hung JF-Expert Member Joined Aug 4, 2017 Posts 1,165 Reaction score 1,355 Aug 8, 2017 #15 troublemaker said: Mana sio kwa wingi huu wa watu bunjuView attachment 560530 Sent from my head using brain Click to expand... Ni kwa wingi upi?
troublemaker said: Mana sio kwa wingi huu wa watu bunjuView attachment 560530 Sent from my head using brain Click to expand... Ni kwa wingi upi?
S sunday vicent New Member Joined Aug 4, 2017 Posts 2 Reaction score 0 Aug 8, 2017 #16 Shiida Sent using Jamii Forums mobile app
Truths JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 1,494 Reaction score 1,504 Aug 9, 2017 #17 Limbani said: JPM Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Jpm hajawahi kuitwa mzee Sent using Jamii Forums mobile app
Limbani said: JPM Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Jpm hajawahi kuitwa mzee Sent using Jamii Forums mobile app
N Ndugu wa Trump JF-Expert Member Joined Nov 9, 2016 Posts 958 Reaction score 703 Aug 9, 2017 #18 Chapa Nalo Jr said: Hebu acheni na Lowasa apite na kuongea na watu ili tupime. Hakuna asiye na wafuasi hata kidogo hapa duniani, hata awe katili vipi. Click to expand... Lowasa apite kwenda wapi? Na kama nani hapa tz? Sent using Jamii Forums mobile app
Chapa Nalo Jr said: Hebu acheni na Lowasa apite na kuongea na watu ili tupime. Hakuna asiye na wafuasi hata kidogo hapa duniani, hata awe katili vipi. Click to expand... Lowasa apite kwenda wapi? Na kama nani hapa tz? Sent using Jamii Forums mobile app
Y yofre JF-Expert Member Joined Nov 20, 2016 Posts 213 Reaction score 264 Aug 9, 2017 #19 ndayilagije said: Ni kweli wanaojitambua wanampenda coz si mnafiki. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
ndayilagije said: Ni kweli wanaojitambua wanampenda coz si mnafiki. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sahihi Sent using Jamii Forums mobile app
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 Aug 9, 2017 #20 Slim5 said: Mleta ....! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu ina maana huyaoni hayo maandishi yanayoendelea?
Slim5 said: Mleta ....! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mkuu ina maana huyaoni hayo maandishi yanayoendelea?