UYU MWANAMKE SIMWELEW

UYU MWANAMKE SIMWELEW

wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.ilikua mwishon mwa mwez wa 6 nilienda kumtembelea mkubwa angu ambaye n kaka angu anaefanya kaz arusha .sasa sehem alikopanga kuna pia wadada wawili wamepanga na mwngne mwanamke (25yrs) mwenye watoto wawil ambaye Mme wake huwa anamaliza ata miez 2 haji kwa sabb yko nje ya mkoa kikaz.asa ikifika asubuhi wote huenda kazin nabak mm na uyo mwanamke katika uo mjengo na vyumba vpo pemben pemben japo tunashare get moja.uyo mwanamke ana mtindo kila wakiondoka wote anavaa nguo fup yenye kutamanisha na huwa anakuja kuazma CD akaangalie muvi anadai uwa ana kawaida ya kuwa anakuja kuomba CD.asa juz juz baada ya wote kwenda kazn alikuja kubisha hod kavaa kimin cha maana ad kichwa changu cha chin kikaanza kulia yale machoz ya faragha.aliomba CD nkamgeia akaondoka akiniachia maneno ambayo ad leo nayafkria mara mbil mbl alisema "we kaka ww una miaka mingap mbna una tabia za kivivu kufikir.
JAMAN NYIE WANAWAKE HAMTUTAKII MEMA
kamata piga utamlaumu nani maisha umeyakosea mwenyewe.
 
Na kuna siku atakuja kuazima CD akiwa kama alivyozaliwa ili ujue ataka nini
Au akuambie huna kitu kinachoweza kuingia kwangu?
Hapo utajiju kula au kuacha
 
wengine wote wanaenda kazini ww unabaki umelala ndani unaangalia movie na wake za watu,fala kweli kaka yako anatafta ww umekaa ndani kazi kutamani wake za watu.kwani mtaani wadada wameisha hadi utamani mke wa mtu?
 
wengine wote wanaenda kazini ww unabaki umelala ndani unaangalia movie na wake za watu,fala kweli kaka yako anatafta ww umekaa ndani kazi kutamani wake za watu.kwani mtaani wadada wameisha hadi utamani mke wa mtu?
jamaa hakuwa na haja ya kuniita fala inakusaidia nn wanaume hatutukan mzebaba.labda nkutoe tongotongo kwa sbb umeavamia mada bila kuelewa.umesema wengne wanaenda kaz m nalala,umesema tena bro anatafta we umekaa ndan(unajua mana ya kutembea au kutembea kwa kutafta kaz??,).wapi nmeandka naangalia muvi na wake za watu.wapi nmeandka nmetaman mke wa mtu(pengne unataka kusema tangu ubalehe hujawah kutaman). UELEWA KITU MHIMU SANA
 
Hata mimi nilishaleta uzi unaofanana na wako niliishia kutukanwa kwahiyo namimi nalipizia kwako.
 
1. Wewe ni mgeni hapo kwa kaka yako
2. Kaka yako na wapangaji wengine wa hapo wana kawaida ya kwenda kazini kitu kinacho7bisha kubaki wewe na yeye tu.
3. Huyo dada ana kawaida ya kuazima CD.
Maswali yangu yako hapa:
- Kabla ya wewe kuja huyo dada alikua anabaki na nani?
- Kabla ya wewe kuja huyo dada alikuwa na kawaida ya kuomba CD kwa nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom