Uyoga wa Maghorofa Haya na Yard za magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uyoga wa Maghorofa Haya na Yard za magari

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kachanchabuseta, Mar 24, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Msaada Kwenye TUTA WanaJF, Sasa hivi tuna muda mrefu tokea tuanze kuona maghorofa na yard za magari zikiota kama uyoga, Jamani nisadieni vipato vya watanzania ndo vimepanda??
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Na kampuni za tours.....nadhani wenye vipato haramu wanajaribu kuvijustify....imagine yard yenye gari 100 inathamani gani kama gari ina average Tshs 10/=...
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Unajua hapa nina wasiwasi na hela chafu zilizoingizwa kwenye mzunguko, Zamani watu walikuwa wanaweka hela bank but after BOT kuwa inichungulia Account za watu, watu wameshutuka hawaweki hela bank instead hizo hela chafu zinaiingia kwenye mzunguko na kuaribu uchumi, I think hii ni impact ya hela chafu zilizoibwa kipindi cha nyuma.
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Spot on...by the way umeona lile tangazo la kamishna wa madini jana kwenye magazeti yetu?....wazungu wemelizwa sana na hili genge la pale Billionaires Pub...ndio wenye hizo tours na yards ati.....wanalipwa Dubai halafu wananunua magari lukuki kule na wanapata exemptions pale TIC kama wawekezaji...
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Asante Mkuu,Underlined, Mkuu nililiona sikuamini macho yangu.......Red TIC ya TZ hata ukiangalia nembo yao inaonesha mkono wa mzungu hili limetafisiliwa kama TIC ni kimbilio la wa kutoka nje
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  hayo ndio maendeleo yanayotakiwa kufanyika !
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Sorry 1lady1 cjakupa vizuri fafanua kidogo with red
   
 8. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Uwiano wa kupanda kwa uchumi wetu na maisha ya wengi wetu haviko sawa; najiuliza kama ni sahihi kutujaziam magari kwenye yadi ama kutuletea matrekta na vitu vingine muhimu; kun haja ya kurudisha regulations kwenye baadhi ya vitu; ni mtazamo wangu tu!
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  Asante sana M Jeuri wazo lako zuri but siku zote serikali yatu haijali watu wake inajifanya imelala, ukizunguka Dar Nzima yadi zenye Trekta hazizidi 5 na huu ndo wakati eti KILIMO KWANZA????? ANGALIA WAMILIKI wa magorofa wahindi waarabu Jamani mfumo wa serikali yetuuuu ,........:eek:
   
 10. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #10
  Mar 25, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Man!!
  Hizi show room nyingi ziko after supper profit. yaani Faida ya gari lazima iwe over or above 3/4 of the purchase price!!! Naamini kama lengo leo ni kuingiza pesa chsfu tu katika mzunguko atleast They could not be charging us this high!! I think most of them can be genuine money. kama unaweza kuingiza noah na ushuru kila kitu kwa 5.9m. Sioni ajabu wewe kuwa na yard yako yenye gari 15 of which unaweza kuapta magari kwa bei ya chini zaidi. Ukweli ni kwamba cars are being bought at a very low price. jaribuni kuepuka kununua magari kwenye hizi show room ambazo ni wizi mtupu. Agizeni wenyewe. Kitu ambacho kinachukua less than 2 months na gari yako umeipata. Stuka mtanzania!!! Samahani kwa wenye ma show rooms kama nimewakwaza!!
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mimi nawashauri PCCB wafungue karakana kuuubwa ya kuhifadhi hayo magari kwani after few months kuna kesi kubwa itaibuka ya kufilisi hizi yadi kutokana na fedha/mtaji zake kuwa ni chafu/haramu
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Hawa hawa wa kwetu ama ? mie mpaka sasa sijaridhishwa nao na katu sioni matokeo ya wanachokifanya; lets be honest kwangu naona uwepo wao ni mzigo tu kwa walipa kodi; nikianzai na lile ultra modern building linalohifadhi mako yao makuu! Do they really need that?
   
Loading...