Uyoga fresh kutoka shambani

Uyoga fresh kutoka shambani

Doyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2011
Posts
1,783
Reaction score
2,208
Wanajamvi habari zenu.kwa wale wanaohitaji uyoga mweupe fresh(oyster mushroom) basi naomba tuwasiliane kwa namba 0753289393.nipo dar maeneo ya mbweni na ukihitaji unaletewa mpaka nyumbani kwako
Kilo moja ni tsh 12,000 nusu ni 6,000 .kwa maelezo zaidi piga namba hizo hapo juu.asante
 
Una maana ya mbegu imetoka mkoa gani au?? Maana shamba lipo hapa mbweni tunavuna na kuwafungia wateja wetu .samahani kama nimejibu ndivyo sivyo ila kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba hyo niliyoacha hapo juu
 
Back
Top Bottom