PreGE2025 UWT Iringa walivyowaimbisha 'Mitano tena' wanafunzi wakisherekea birthday ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Ndio hivyo..!😎

Katika kusherekea siku ya kuzaliwa ya Rais Samia, Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) mkoa wa Iringa imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye Ulemavu na usonji wanaosoma katika Shule ya Msingi Sabasaba iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa na kuhimiza wazazi kuendeleza malezi bora kwa watoto.
 
Duh chawa kila kona

View attachment 3215713
 
Na ni nchi hiyo hiyo utakuta hospital meter 500 kutoka hapo haina sterile surgical gloves.
 
Back
Top Bottom