Kweli mwanamke hata angekuwa mzuri vipi lazima atakuwa anakasoro,ukimwi tupu hapo pole ndikumana umeoa lakini umeolea watu wengine kinapigwa hadi kinabadilika rangi.
Bint, hapa kakata ngebe za watu, maana kuna watu walikuwa wanadai ohhhhh Uwoya hanyoi kavuga mzuzu sasa haha kaonyesha mwenyewe anavyo shave, tena na wembe haukumletea vipele ha ha ha ha ha
Kweli Ukimwi kuisha c leo, Watu mna wake/magirlfriend zenu afu mnafanya mambo ya ajabuajabu tu! ACHENI TAMAA ZA KIJINGAJINGA!!
Na aliyepigwa picha hii ni m**ga c ameolewa huyu.HIVI NI LINI HAWA MACELEBRITY WETU WATAACHA UPUMBAVU HUU WA KUONYESHA MAUNGO YAO NJE?? Hv wao si ndo wangekuwa mstari wa mbele kucampaign wa2 waache ngono zembe kupunguza maambukizo ya Ukimwi.WATZ TUAMKE TUACHE MAMBO YA KIPUMBAVU YASIYO NA MSINGI MZURI KTK JAMII.
Nguo uliyovaa wewe uwoya irene, kama tungekuwa enzi ya mwalimu ungechapwa fimbo za kutosha.
Mimi nasema ni aibu kwa taifa na vizazi vijavyo.
Sitasifia upumbavu kama huo.
nilishawahi kumbonyeza huyu, hana lolote. minyama ya nje tu, ila kulee, hamna lolote, bora hata wale kuku wa kienyeji. kwa wale waliowahi kumbonyeza huyu waseme labda.
nilishawahi kumbonyeza huyu, hana lolote. minyama ya nje tu, ila kulee, hamna lolote, bora hata wale kuku wa kienyeji. kwa wale waliowahi kumbonyeza huyu waseme labda.