Uwongo wa Kutongozea

Uwongo wa Kutongozea

Mnaojidanganya hivyo hampati wadada wa maana, mdada mwenye akili zake hamkubali mwanaume anayekuja na sound za kijinga kama hizo......pole

Wadada wa maana wanapatikana hivyo ,hivi unataka kuniambia mtu anapokuapproach anakuuliza sasa vipi ? Yaani direct anakwambia ,naona kama mna matatizo ,hivi umekutwa kwenye danguro iwe unavutwa mkono tu au unaitwa njoo ! Wacheni mikwala eti siku hizi haihitaji kutongoza ,ni kweli haihitajii kama unawafuata wanaojipanga balabalani ,ila kwa wenye msimamo inabidi uwaanzie mbali sana !
 
Back
Top Bottom